Uongozi wa Musabe Schools zilizopo Buhongwa, Jijini Mwanza, unapenda kuwataarifu wazazi na walezi wote kuwa nafasi za kujiunga na Kidato cha Kwanza kwa mwaka wa masomo 2027 zinapatikana.
Ada ya fomu ni Tsh. 50,000/=. Fomu zinapatikana katika vituo mbalimbali vilivyoainishwa hapa chini.
Vituo vya Kupatia Fomu za Maombi
MWANZA
Musabe Secondary School – Buhongwa
Simu: 0757763848 / 0754654545 / 0769197221
Musabe Secondary School – Buhongwa
Simu: 0757763848 / 0754654545 / 0769197221
KARAGWE
Karagwe Estates Ltd – Omurushaka
Simu: 0789718490
Karagwe Estates Ltd – Omurushaka
Simu: 0789718490
DAR ES SALAAM
Msimbazi Centre, Chumba Na. 19
Simu: 0624553724
Msimbazi Centre, Chumba Na. 19
Simu: 0624553724
DODOMA
Dodoma Secondary School
Simu: 0757657529
Dodoma Secondary School
Simu: 0757657529
KAHAMA & SHINYANGA
Nyamizi Stationery, Opposite NMB Bank
Simu: 0744427017
Nyamizi Stationery, Opposite NMB Bank
Simu: 0744427017
MUSOMA
Mwembeni Complex, Chumba D13
Simu: 0652200400
Mwembeni Complex, Chumba D13
Simu: 0652200400
Vituo vya Kufanyia Mitihani ya Kujiunga
MWANZA
Musabe Secondary School – Buhongwa
12.09.2026 & 19.09.2026
Musabe Secondary School – Buhongwa
12.09.2026 & 19.09.2026
KAGERA
Nyakahanga Shule ya Msingi – Karagwe
18.09.2026 & 19.09.2026
Nyakahanga Shule ya Msingi – Karagwe
18.09.2026 & 19.09.2026
DAR ES SALAAM
Benjamin Mkapa High School
18.09.2026, 19.09.2026 & 20.09.2026
Benjamin Mkapa High School
18.09.2026, 19.09.2026 & 20.09.2026
DODOMA
Dodoma Secondary School
18.09.2026, 19.09.2026 & 20.09.2026
Dodoma Secondary School
18.09.2026, 19.09.2026 & 20.09.2026
Kozi ya Pre-Form One itaanza rasmi tarehe
25.09.2026.
Karibuni sana wanafunzi, wazazi na walezi wote Musabe Schools.