
ZIARA YA KIMASOMO MUSABE GIRLS– BUJORA
Mnamo tarehe 07 Mei, wanafunzi 300 wa Kidato cha Kwanza pamoja na walimu wao wa masomo walipata fursa ya kufanya ziara ya kimasomo katika Makumbusho ya Wasukuma – Bujora, yaliyopo Kisesa, kwa ajili ya kujifunza Historia ya Tanzania na Maadili.
Read more

